Nami Nitakupa Wewe Funguo Za Ufalme Wa Mbinguni
Chagua Format:

Nami Nitakupa Wewe Funguo Za Ufalme Wa Mbinguni

by Rev. Dr. Allen Adam Mbiso

About This Book

Nami Nitakupa Wewe Funguo za Ufalme wa Mbinguni ni mwongozo wa kibiblia unaofunua maana ya mamlaka aliyopewa mwamini na namna ya kuitumia kuishi maisha ya ushindi. Kitabu kinaeleza sifa na kanuni za Ufalme wa Mungu, nguvu ya kusamehe, funguo za utoshelevu na utumishi, pamoja na nafasi ya imani, maombi, upendo, utii na maneno tunayoyatamka. Kwa mafundisho yake ya vitendo, msomaji ataelewa namna ya kushinda hofu, majaribu na vifungo vya kiroho huku akitimiza mapenzi ya Mungu. Hii ni eBook muhimu kwa kila Mkristo anayetaka kukua katika ufahamu, mamlaka ya kiroho na maisha yenye matokeo. Wasiliana na Mwandishi kupitia:

ambiso2003@gmail.com

Publisher KKKT DIGITAL
Published at August 1, 2026
ISBN 978-987-9993-3-0
Author Rev. Dr. Allen Adam Mbiso
Pages 113