Udhihirisho wa Roho Saba za Mungu
Chagua Format:

Udhihirisho wa Roho Saba za Mungu

by Rev. Dr. Allen Adam Mbiso

About This Book

Udhihirisho wa Roho Saba za Mungu ni mwongozo wa kibiblia unaofafanua utendaji wa Roho ya Bwana, hekima, ufahamu, shauri, uweza, maarifa na kumcha Bwana katika maisha ya mwamini. Kitabu kinaonesha jinsi ushirika wa karibu na Roho Mtakatifu unavyoweza kuleta ujasiri, maamuzi sahihi, nguvu ya kutimiza kusudi la Mungu, ukuaji wa kiroho na maisha yenye matunda. Kwa mafundisho yake ya kina, utajifunza kutambua uongozi wa Mungu, kushinda changamoto na kuishi kwa hekima, utii na mamlaka ya kiroho. Hii ni eBook muhimu kwa kila Mkristo anayetaka kuongezeka katika ufunuo, utumishi na nguvu za Mungu. Wasiliana na Mwandishi kupitia:

ambiso2003@gmail.com

Publisher KKKT DIGITAL
Published at August 1, 2026
ISBN 978-9987-9993-5-4
Author Rev. Dr. Allen Adam Mbiso
Pages 84